• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa Baraza la Asia la BOAO

    (GMT+08:00) 2018-04-03 10:27:56

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amesema rais Xi Jinping wa China atahudhuria na kuhutubia ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa Baraza la Asia la Boao, na kukutana na viongozi wa nchi na serikali na wakuu wa mashirika ya kimataifa watakaohudhuria mkutano huo.

    Hii ni mara ya tatu kwa rais Xi Jinping kuhudhuria mkutano wa mwaka wa Baraza la Asia la Boao, na hii inaonesha kuwa rais Xi na serikali ya China inatilia maanani na kuunga mkono baraza hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako