• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wafanyabiashara Afrika mashariki walalamikia ukosefu wa ufahamu wa maafisa mipakani

    (GMT+08:00) 2018-04-03 19:21:24

    Wafanyabiashara katika kanda ya Afrika Mashariki wamewalaumu maafisa wa mipakani kwa kutokuwa na habari husika na oparesheni za kibiashara.

    Wamelalamikia kudhulimiwa, kutozwa ushuru wa juu na ukaguzi wa bidhaa zao katika maeneo ya mipakani.

    Wanasema bado maafisa kwenye mipaka hawajafahamu kuhusu itifaki ya soko la pamoja na mambo yanayohusu ushuru kwa bidhaa za soko la kikanda.

    Mkurungezi wa kampuni ya Tandaza Tanzania Ltd bibi Githinji amesema kuna bidhaa na huduma nyingi ambazo tayari zimeondolewa ushuru lakini mamlaka wa mipakani wameendelea kudai kodi .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako