• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Faida ya Umeme yapungua

    (GMT+08:00) 2018-04-03 19:22:07

    Faida ya kampuni ya kusambaza kawi nchini Uganda Umeme imeshuka kutoka shilingi bilioni 138 za 2016 hadi shilingi bililioni 35 mwka 2017.

    Hata hivyo ripoti ya kifedha ya kampuni hiyo inaonyesha kwamba bado watalipa shilingi 7.6 kwa hisa kwa kipindi cha fedha kilichokamilika desemba 31.

    Rais Yoweri Museveni ameagiza kandarasi ya kampuni ya Umeme kutosainiwa upya baada ya miaka 7.

    Hata hivyo mkurungezi wa kampuni hiyo, Selestino Babungi, amesema mazungumzo kati yao na rais Museveni yanaendelea vyema ili kuhakikisha kandarasi ya kusambaza umeme inasainiwa upya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako