• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Afrika wasema Afrika imehuzunishwa na kifo cha Winnie Mandela

    (GMT+08:00) 2018-04-04 09:10:09

    Mwenyekiti wa Kamati ya Umoja wa Afrika Bw. Moussa Faki Mahamat amesema, bara la Afrika limehuzunishwa na kifo cha Bibi Winnie Madikizela-Mandela.

    Bw. Mahamat ametoa taarifa akisema Bibi Winnie Madikizela-Mandela aliyekuwa shujaa wa vita vya ukombozi dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini atakumbukwa daima kama mwanaharakati asiye mwoga aliyejitolea mhanga kwa uhuru wa nchi hiyo.

    Taarifa pia imesema Umoja wa Afrika na bara zima la Afrika limehuzunishwa na kifo cha bibi Winnie Madikazela-Mandela.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako