• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Manchester City kuvaana na Liverpool

    (GMT+08:00) 2018-04-04 10:50:26
    Timu ya Manchester City na Liverpool leo zitakutana katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Ulaya.

    Huenda Man City ikamkosa mshambuliaji wake Sergio Kun Aguero kutokana na kusumbuliwa na majeraha aliyoyapata wiki kadhaa zilizopita na kumfanya akosekane hata mazoezini kwa siku kadhaa.

    Timu hizo zinakutana katika dimba la Anfield ambapo Man City itakuwa na kibarua ugenini cha mkondo wa kwanza wa mchezo huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako