• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • EAC:Kenya yakataa kuongeza ushuru kwa bidhaa

    (GMT+08:00) 2018-04-04 19:13:46

    Kenya imekataa kujiunga na uamuzi wa nchi nyingine za jumuiya ya Afrika mashariki kuongeza ushuru wa bidhaa .

    Katibu mkuu wa wizara ya fedha Kamau Thugge amesisitiza kwamba ushuru wa bidhaa utasalia asilimia 16 licha ya nchi za Tanzania na Uganda kuongeza ushuru huo.

    Kumekuwa na mkanganyiko wa utofauti wa bei tofauti wa bidhaa kwa wateja katika soko huru la EAC.

    Hatua hii itakua ni habari njema kwa wakenya wanaoishi maisha ya kipato cha chini na wale wa kawaida kwani bei hizo hazitaathiri gharama ya maisha.

    Taasisi za kimataifa za fedha zimeitaka Kenya kuongeza ushuru wa bidhaa kwa asilimia 2.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako