• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mahakama ya Brazil yaidhinisha kukamatwa kwa rais wa zamani Lula

    (GMT+08:00) 2018-04-06 08:44:09

    Mahakama moja ya rufaa nchini Brazil imeidhinisha kutoa hati ya kukamatwa kwa rais wa zamani na anayetarajiwa kuchaguliwa tena katika uchaguzi wa mwaka huu Luiz Inacio Lula da Silva. Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya Mahakama Kuu kukataa ombi la hati ya ulinzi na kumwokoa Bw. Lula kuanza kifungo cha miaka 12 mpaka akamalishe mchakato wote wa rufaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako