• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CAF yathibitisha adhabu ua Yondani na kufungia mwingine

    (GMT+08:00) 2018-04-06 09:10:49
    Shirikisho la soka Afrika (CAF) limeithibitishia klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam kuwa beki wake tegemeo Kelvin Yondani alionyeshwa kadi kwenye mechi zote mbili dhidi ya Township Rollers ya Botswana hivyo hatakiwi kucheza mechi ya kesho Jumamosi dhidi ya Welaita Ditcha ya Ethiopia.

    CAF juzi iliitumia barua ya tahadhari klabu hiyo kutowatumia wachezaji wake wanne akiwemo Yondani, lakini benchi la ufundi la Yanga lilisema halina kumbukumbu kama mchezaji kuonyeshwa kadi mbili za njano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako