• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yasema haitaki kufanya vita vya biashara, lakini haiogopi

    (GMT+08:00) 2018-04-06 19:21:32

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang leo amesema, katika suala la biashara kati ya China na Marekani, China haitaki kufanya vita vya biashara, lakini haiogopi. China itaendelea kupanua mageuzi na kufungua mlango, kulinda mfumo wa biashara wenye pande nyingi, na kuhimiza utandawazi wa soko huria na urahisishaji wa biashara na uwekezaji duniani.

    Bw. Lu Kang amesema kama Marekani haitazingatia kupinga kwa China na jumuiya ya kimataifa, na kushikilia kufanya kitendo cha upande mmoja na kujilinda kibiashara, basi China itapambana nayo kithabiti, na kuchukua hatua mpya mbalimbali, kulinda maslahi ya nchi na wananchi wake bila kujali hasara yoyote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako