• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia yalaani vikali hatua mpya za vikwazo vilivyowekwa na Marekani

    (GMT+08:00) 2018-04-07 17:13:49

    Wizara ya mambo ya nje ya Russia imesema, Russia haitaacha kujibu vikalihatua mpya za vikwazo vilivyowekwa na Marekani na matendo mengine ya uchochezi katika siku za baadaye.

    Wizara hiyo imesema, Marekani imeweka vikwazo kadhaa, vikiwemo vile vya kuondoa washindani kwa kutumia njia ya kiutawala, jambo linaloonesha kuwa Marekani imekiuka uchumi wa soko na mashindano huria na ya haki.

    Vilevile imeongeza kuwa Marekani inafanya kila iwezalo kuhakikisha mamlaka yake duniani..

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako