• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Yang Jiechi akutana na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa

    (GMT+08:00) 2018-04-08 18:19:31

    Mjumbe wa Ofisi ya siasa ya kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Yang Jiechi leo hapa Beijing amekutana na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres.

    Bw. Yang amesema, rais Xi Jinping wa China alipendekeza kuhimiza ujenzi wa uhusiano wa kimataifa wa aina mpya, na kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja, hii imeungwa mkono na jumuiya ya kimataifa, pia imechukuliwa kuambatana na lengo na kanuni ya Katiba ya Umoja wa Mataifa. China inauunga mkono Umoja wa Mataifa kwa kuonyesha umuhimu mkubwa, na inapenda kufanya juhudi za pamoja na Umoja wa Mataifa katika kulinda amani na usalama wa dunia na kuhimiza maendeleo ya jamii na uchumi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako