• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi asisitiza ahadi ya kulinda mamlaka ya Umoja wa Mataifa

    (GMT+08:00) 2018-04-08 18:27:27

    Rais Xi Jinping wa China leo hapa Beijing amekutana na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres, akisisitiza kuwa kulinda mamlaka na sifa ya Umoja huo ni sera ya msingi ya mambo ya nje ya China.

    Baada ya kukaa mjini Beijing, katibu mkuu huyo ataenda Bo'ao mkoani Hainan ili kushiriki kwenye mkutano wa mwaka wa 2018 wa Baraza la Asia la Bo'ao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako