• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China akutana na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa na rais wa Austria

    (GMT+08:00) 2018-04-09 10:35:07

    Tarehe 8 mkutano wa mwaka wa baraza la Asia la Bo'ao ulifunguliwa mkoani Hainan, China. Siku hiyo mchana rais Xi Jinping wa China alikutana na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres na rais Alexander Van der Bellen wa Austria ambao wako ziarani nchini China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako