• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michezo, Zanzibar: Uwanja wa michezo wa Matemwe Kijini wazinduliwa

    (GMT+08:00) 2018-04-09 10:51:50

    Zoezi la kuzindua uwanja wa michezo katika eneo Matemwe Kijini mkoa wa kaskazini Unguja uliojengwa na Kampuni ya Pennyroyal kupitia mradi wake wa Maendeleo 'Best of Zanzibar' limefanyika jumamosi.

    Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, waziri wa Michezo wa Zanzibar Ali Abeid Karume amesema kuwa viwanja ndio msingi mzuri wa kuwafanya watu wajishughulishe katika michezo ambapo bila ya hivyo inakuwa ni vigumu kwa watu kujiingiza katika michezo.

    WAZIRI huyo, pia ameongeza kuwa, serikali inatambua kuwa miundombinu ya michezo ikiendelezwa itasaidia watu kujiendeleza kimichezo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako