• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia yafikiria kujibu vikwazo vipya ilivyowekewa na Marekani

    (GMT+08:00) 2018-04-10 08:30:02

    Ikulu ya Russia imesema vikwazo vipya ilivyowekewa na Marekani ni "hujuma ya wazi kwa kila kitu", na Russia itachukua hatua madhubuti kujibu vikwazo hivyo na kupunguza athari zake kwa sekta ya biashara ya Russia. Kauli hiyo imekuja baada ya wizara ya fedha ya Marekani kutangaza Ijumaa iliyopita kuweka vikwazo vipya dhidi ya mashirika na watu 38 binafsi wa Russia, wakiwemo viongozi saba wa biashara na maofisa 17 waandamizi wa serikali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako