• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Pato la ndani la taifa la China liliongezeka kwa asilimia 9.5 kwa mwaka katika miaka 40 iliyopita

    (GMT+08:00) 2018-04-10 10:24:47

    Rais Xi Jinping wa China amesema katika miaka 40 iliyopita tangu China ianze kutekeleza sera ya mageuzi na ufuguaji mlango, watu wa China wamejitahidi kujenga nchi, kushikilia sera ya mageuzi na ufunguaji mlango, na kuongeza uzalishaji kwa kiasi kikubwa. Hivi sasa China imekuwa nchi ya pili kwa nguvu ya uchumi duniani, nchi inayofanya uzalishaji mkubwa zaidi viwandani, nchi inayofanya biashara kwa wingi zaidi, na nchi yenye akiba kubwa zaidi ya fedha za kigeni.

    Katika miaka 40 iliyopita, pato la ndani la taifa la China GNP liliongezeka kwa asilimia 9.5 kwa mwaka, thamani ya biashara ya nje iliongezeka kwa asilimia 14.5 kwa mwaka, na Wachina milioni 700 wameondokana na umaskini, ambao wanachukua asilimia 70 ya idadi ya watu walioondokana na umaskini duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako