• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ushirikiano wa amani, kufungua mlango kwa shirikishi, mageuzi na uvumbuzi ni mawimbi makuu matatu ya dunia ya sasa

    (GMT+08:00) 2018-04-10 10:37:30

    Rais Xi Jinping wa China amesema, amani na maendeleo ni wito wa pamoja wa watu wa nchi mbalimbali duniani, wazo la vita baridi na ushindani wa kutonufaishana limepitwa na wakati. Maendeleo ya uchumi na jamii ya nchi mbalimbali yamefungamana na kuathiriana, kuhimiza mawasiliano na kuharakisha maendeleo shirikishi ni chaguo la lazima katika kuhimiza maendeleo na ustawi ya pamoja. Amesisitiza kuwa, mageuzi na uvumbuzi ni nguvu ya kimsingi ya kusukuma mbele maendeleo ya jamii ya binadamu. Amesema anayepinga mageuzi na anayekataa uvumbuzi, ataachwa na zama hizi na historia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako