• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kuimarisha ulinzi wa hakimiliki kutainua uwezo wa ushindani wa uchumi wa China

    (GMT+08:00) 2018-04-10 11:37:14

    Kwenye mkutano wa mwaka wa baraza la Asia la Bo'ao, rais Xi Jinping wa China amesema kuimarisha ulinzi wa hakimiliki ni nguvu kubwa zaidi ya kuinua uwezo wa ushindani wa uchumi wa China. Mwaka huu China itaunda upya idara ya hakimiliki, na kuongeza nguvu ya utekelezaji wa sheria kuhusu hakimiliki. Amesisitiza kuwa China inayahimiza makampuni ya China na nchi mbalimbali kufanya mawasiliano na ushirikiano wa kawaida kuhusu teknolojia, na kulinda hakimiliki halali za makampuni ya nje nchini China. China pia inatarajia serikali za nchi mbalimbali zitaongeza nguvu ya kulinda hakimiliki za China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako