• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ligi Kuu ya wanawake Tanzania Bara kuendelea April 21

  (GMT+08:00) 2018-04-11 08:28:04
  Ligi kuu ya wanawake Tanzania Bara hatua ya nane bora inatarajia kuendelea Jumapili Aprili 21 kwenye viwanja tofauti.

  Hatua hiyo ambayo ilisimama kupisha maandalizi ya timu ya Taifa ya Wanawake(Twiga Stars) iliyokuwa kambini kujiandaa na mchezo wake wa kufuzu fainali za Africa kwa Wanawake itaendelea katika mzunguko wa Tano(5).

  Hatua ya nane bora inachezwa kwa mtindo wa nyumbani na ugenini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako