• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Msaidizi wa rais wa Marekani anayeshughulikia usalama wa nchi Bw. Thomas Bossert ajiuzulu

    (GMT+08:00) 2018-04-11 08:29:15

    Ikulu ya Marekani imethibitisha kuwa msaidizi wa rais wa Marekani anayeshughulikia usalama wa taifa na mapambano dhidi ya ugaidi Bw. Thomas Bossert amejiuzulu. Taarifa iliyotolewa na ikulu ya Marekani inasema rais Donald Trump amemshukuru Bw. Thomas Bossert kwa huduma zake za kizalendo katika kuongoza kazi za kupambana na ugaidi, kuimarisha usalama wa kimtandao na kukabiliana na majanga ya asili nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako