• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda yathibitisha kuuawa kwa mlinzi wa amani na wengine 8 kujeruhiwa nchini CAR

    (GMT+08:00) 2018-04-12 12:52:14

    Msemaji wa jeshi la Rwanda Bw. Innocent Munyengango amethibitisha kuwa askari mmoja wa kulinda amani wa Rwanda ameuawa na wengine 8 wamejeruhiwa katika mapambano yaliyoibuka jana dhidi ya makundi yenye silaha nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.

    Bw. Munyengango amesema askari huyo wa jeshi la Rwanda ambaye alihudumia Tume ya Umoja wa Mataifa nchini CAR MINUSCA, aliuawa katika operesheni ya kuwakamata watu wenye silaha kwenye eneo la makazi ya waislamu la PK5 mjini Bangui.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako