• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Jeshi la Israel lateketeza handaki moja la kuvuka mpaka kutoka Gaza

  (GMT+08:00) 2018-04-16 09:09:21

  Jeshi la Israel limesema vikosi vyake vimeteketeza handaki moja la kuvuka mpaka kutoka ukanda wa Gaza hadi nchini Israel, ambalo Israel inadai kuwa linatumiwa na kundi la Hamas la Palestina kufanya mashambulizi ya kuvuka mpaka. Taarifa iliyotolewa na waziri wa ulinzi wa Israel inasema hilo ni handaki refu zaidi na lenye kina kirefu zaidi la kundi la Hamas lililoteketezwa na Jeshi la Israel, na pia ni handaki la tano kuharibiwa na jeshi hilo katika miezi michache iliyopita.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako