• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Raia wa China wako tayari kuunga mkono mfumo wa uongozi wa  Beidou

  (GMT+08:00) 2018-04-16 17:47:56

  Raia wa China wanasubiri kwa hamu kuanza kutumia mfumo wa mawasiliano unaotarajiwa kuzinduliwa mwezi ujao, ambao utaboresha zaidi uhakika wa mawasiliano ndani ya mita.

  Raia wengi wa China wameeleza matumaini yao ya kuondokana na GPS na kujiunga mfumo uliobuniwa na China wa Beidou. Aina nying za simu za kisasa zinazotengenezwa na kampuni za Huawei, Xioami, OnePlus, Meizu, Nubia na HTC zinaweza kutumia mfumo wa mawasiliano wa Beidou, na kampuni nyingine zinatarajiwa kutumia mfumo huo katika siku za baadaye.

  Mfumo wa mawasiliano wa Beidou unalenga kushindana na mifumo mingine ya mawasiliano kama GPS ya Marekani, GLONASS ya Russia, na Galileo wa Ulaya.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako