• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Bei ya mafuta imeshuka kidogo

  (GMT+08:00) 2018-04-16 19:32:37

  Wenye magari sasa wanaweza pumua baada ya mdhibiti wa mafuta kupunguza gharama ya mafuta ya petroli.

  Bei ya rejareja ya mafuta itakuwa Sh106.83 kutoka Sh107.46 mwezi Machi.

  Lita moja ya mafuta ya taa itauzwa kwa Sh76.72, imeshuka na Sh0.73 katika mapitio ya hivi karibuni, lakini bei ya dizeli hajabadilikia.

  Mdhibiti amesema mabadiliko imetokana na kushuka kwa bei ya kimataifa.

  Utafiti uliofanywa na mdhibiti na kutolewa mwezi uliopita ilipendekeza ongezeko la bei ya rejareja ya mafuta ili kuwapa wafanyabiashara wa mafuta viwango bora vya faida.

  Ripoti hiyo inapendekeza bei ya petroli iongezwe hadi Sh11.66 kwa lita moja ya mafuta ya petroli, kutoka Sh10.89 ya sasa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako