• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • East Africa: Makampuni ya Saruji wanapitia wakati mgumu bei ya uzalishaji ikishuka

  (GMT+08:00) 2018-04-16 19:41:45

  Wazalishaji wa saruji Afrika Mashariki wanapitia wakati mgumu, na faida kushuka kwa sababu ya ushindani mkali kutoka kwa bidhaa za bei nafuu, gharama za juu za nguvu za umeme na

  Bamburi, kampuni kubwa ya saruji, iliona faida yake baada ya kodi mwak 2017 ikishuka kwa dola milioni 39 hadi dola milioni 19.7 kutokana na mauzo ya chini katika soko la Kenya, na miradi ya miundombinu kucheleweshwa.

  Mapato yake yamepungua kwa asilimia sita hadi $ milioni 359 ikilinganishwa na $ milioni 383 mwaka 2016.

  Wazalishaji wengine nchini Tanzania pia waliona kushuka kwa faida.

  Kampuni ya Cement ya Portland ya Tanzania (TPCC) inayoendeshwa chini ya jina la Twiga, iliona faida yake baada ya kodi ikishuka kwa dola milioni 15.6 mwaka jana, kutoka $ milioni 17.6 iliyoandikwa mwaka 2016.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako