Mchezo huo unazikutanisha AS Roma ambao watakuwa wenyeji wa Liverpool.
AS Roma wakifanya mazoezi ya mwisho kabla ya mechi hiyo katika uwanja wa mazoezi wa Trigoria nchini Uingereza wameonekana kujiamini tayari kwa pambano hilo.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |