• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Bei ya unga Kenya kutobadilika hadi Juni

    (GMT+08:00) 2018-04-24 20:30:54

    Wasagaji wa mahindi nchini Kenya wanasema bei ya unga itasalia ilivyo kwa sasa hadi mwezi Juni baada ya serikali kutoa zaidi ya magunia 600,000 ya mahindi kutoka kwa maghala yake kwa ajili ya kuuza kwa wasindikaji.

    Mwenyekiti wa chama cha wenye kampuni za Unga Nick Hutchinson alisema kuwa hatua hiyo itaongeza usambazaji wa nafaka na kudumisha bei za chini za rejareja.

    Bodi ya Taifa ya nafaka (NCPB) imetoa wito kwa wadau kununua kununua sehemu ya nafaka yake ya zamani kwa shilingi Sh2,300.

    Bei ya unga nchini Kenya imekuwa chini kwa miezi moja na nusu uliopita na sasa pakiti ya kilo mbili ni kati ya shilingi 99 na 105.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako