• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda-EU yaingiza Shs67b katika kufufua sekta ya nyama

    (GMT+08:00) 2018-04-25 19:23:17

    Umoja wa Ulaya kwa ushirikiano na serikali ya Uganda imeingiza Sh67.7b katika sekta ya nyama ikiwa na matumaini ya kuboresha ubora katika mnyororo wa thamani.

    Fedha hizo zitasaidia kujenga soko endelevu la sekta ya nyama nchini Uganda.

    Akizungumza katika uzinduzi wa mradi huo katika wilaya ya Luweero,Mkuu wa Idara ya maendeleo endelevu ya Umoja wa Ulaya Bw Aloys Lorkeers alisema kutoka uzalishaji,utumizi,usafirishaji,uuzaji rejareja na huduma nyengine vyote ni viungo muhimu vya mnyororo wa thamani.

    Mradi huo wa sekta ya nyama unaolenga soko na mazingira endelevu utatekelezwa katika wilaya 30 chini ya mradi wa miaka mitano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako