• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Wabunge wakataa kupunguzwa kwa ushuru wa kamari ya michezo

    (GMT+08:00) 2018-04-26 19:09:01

    Wabunge sita wamepinga vikali mpango wa kupunguzwa kwa ushuru wa kamari ya michezo kutoka asilimia 35 hadi 15.

    Wabunge hao wameishtumu washikadau wa sekta ya kamari wanaotaka kuiwekea vikwazo serikali itakapokataa kupunguza ushuru.

    Wabunge hao wamesema badala yake huenda wakapendekeza ushuru wa asilimia 50 kwa kamari ya michezo badala ya 35 ya hapo awali.

    Tindi Mwale (Butere), Elisha Odhiambo (Gem), Godfrey Otsotsi (Nominated), Antony Aluoch (Mathare), Musili Mawathe (Embakasi East) na Raphael Wanjala (Budalangi) wamedai kwamba pednekezo la kuongezwa ushuru wa sekta hiyo ni kulinda jamii ya wakenya dhidi ya kuathirika sana kimaadili utumiaji mbaya wa fedha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako