• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Viongozi wa Korea Kaskazini na Korea Kusini wakutana mpakani

    (GMT+08:00) 2018-04-27 10:39:10

    Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini leo asubuhi amefanya mazungumzo ya kwanza na mwenzake wa Korea Kaskazini Bw. Kim Jong-Un.

    Mazungumzo kati yao yamefanyika katika jengo la Peace House katika kijiji cha mpakani cha Panmunjom kilichoko upande wa Korea Kusini.

    Rais Kim Jong-Un ni kiongozi wa kwanza wa Korea Kaskazini kufika nchini Korea Kusini tangu vita vya Korea vilivyotokea mwaka 1950 hadi 1953.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako