• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya dunia yasikitishwa na mzigo wa madeni katika nchi zilizo chini ya jangwa la sahara

    (GMT+08:00) 2018-04-27 18:52:53

    Benki ya dunia imesema nchi 18 katika jangwa la sahara zinakumbwa na mzigo wa madeni mwaka huu ikilinganishwa na miaka miaka mitano iliyopita. Ripoti ya benki hiyo hata hivyo haikuzitaja nchi hizo lakini imedokeza kuwa Kenya ni miongoni mwa nchi hizo ambapo deni la serikali ni Zaidi ya asilimia 50 ya pato la taifa.

    Benki hiyo pia imesema mapato ya kodi kwa nchi nyingi bado ni kidogo na hayawezi kusaidia katika kulipa madeni hayo. Imeonya kuwa mambo huenda yakawa mabaya Zaidi kama hatua za haraka hazitachukuliwa kutatua tatizo hilo katika miaka michache ijayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako