Klabu ya Glasgow Celtic jana imefanikiwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya soka nchini Scotland baada ya kuwafunga mahasimu wao wa kihistoria Glasgow Rangers kwa magoli 5-0.
Huu ni ubingwa wa saba mfululizo kwa Celtic, na ukiwa ni ushindi mkubwa zaidi kuwahi kuupata dhidi ya Rangers.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |