• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Utumizi wa saruji wa shuka kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 17 kutokana na ujenzi wa chini.

    (GMT+08:00) 2018-04-30 19:54:54

    Takriban tani milioni 6.7 za saruji, zilitumiwa mwaka 2016 lakini kiasi kilipungua kwa asilimia 8.2 mwaka jana.

    Utumizi wa saruji, mara ya mwisho kushuka, ilifanyika mwaka wa 2000 wakati ulipofikia tani milioni 1.067 ikilinganishwa na tani milioni 1.111 mwaka uliopita.

    Uchunguzi uliopita ulionyesha kuwa kushuka kwa thamani ya mipango ya ujenzi ilikuwa kati ya mwaka 1999 na 2002 wakati ukuaji wa uchumi ulikuwa chini kwa muda mrefu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako