• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mchezaji Djihad Bizimana asajiliwa na klabu ya Ubeligiji

    (GMT+08:00) 2018-05-01 10:11:20

    Klabu ya Waasland-Beveren inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Ubeligiji imethibitisha kumsajili mchezaji wa kimataifa wa Rwanda Djihad Bizimana.

    Mchezaji huyo mwenye miaka 21 amesaini mkataba wa miaka 3 isiyofungwa kwani unaweza kuongezwa mmoja.

    Bizimana ni kiungo maarufu nchini Rwanda akiwahi kucheza kwa nyakati tofauti katika klabu za Rayon Sport na APR.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako