• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Rwanda kutumia franc trilioni 2.4 kwenye bajeti ijayo

    (GMT+08:00) 2018-05-01 18:57:52

    Serikali ya Rwanda inapanga kutumia franc trilioni 2.4 kwenye bajeti yake ya mwaka (2018/19) ya kuanzia mwezi Julai mwaka huu.

    Bajeti ya 2017/18 ni franc trillon 2.1.

    Waziri wa fedha na mipango ya kiuchumi Uzziel Ndagijimana, ameyasema hayo bungeni wakati akiwasilisha mpango wa bajeti ijayo.

    Amesema bajeti itapangwa kulingana na Mkakati wa kitaifa wa mageuzi na mpango mpya wa kitaifa ambao utasaidia kufikia malengo ya mwaka 2020.

    Ndagijimana alisema bajeti ijayo itafadhiliwa kwa asilimia 84 na ushuru wa ndani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako