• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda:Polisi wamtia mbaroni msafirishaji wa miraa

    (GMT+08:00) 2018-05-03 18:08:07

    Polisi katika wilaya ya Gicumbi Uganda wamemkamata jamaa mmoja kwa kosa la kuingiza miraa nchini Rwanda.

    Inspekta mkuu wa polisi wa wilaya hiyo Hamdum Twizeyimana amesema mshukiwa huyo alitaka kuwahonga polisi kwa franki laki 2 .

    Miraa nchini Rwanda imepigwa marufuku mwaka 2015 kutokana na madai ya kuwa na ulevyi aina ya Catha edulis iliyo na Cathione na Cathine.

    Mwaka 1980 shirika kuu la afya duniani liliorodhesha miraa kama dawa inayoweza kuifanya akili kujitegemea kupita kiasi na madhara yake ni pamoja na saratani yam domo,mshtuko wa moyo ukosefu wa usingizi na kupungua kwa hamu ya chakula.

    Nchini Rwanda ni hatia kuisafirisha na adhabu yake ni kifungo cha miaka 5 gerezani na faini ya frank mioni 5.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako