• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri Mkuu Li Keqiang aondoka Beijing kwa ajili ya ziara yake nchini Indonesia na Japan

    (GMT+08:00) 2018-05-06 17:03:46

    Kutokana na mialiko kutoka kwa rais Joko Widodo wa Indonesia na waziri mkuu wa Japan Bw. Shinzo Abe, waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang ameondoka hapa Beijing, na ataanza kwa kufanya ziara rasmi nchini Indonesia, kisha atakwenda Japan kuhudhuria mkutano wa saba wa wakuu wa nchi za China, Japan na Korea Kusini , vilevile akiwa nchini Japan atafanya ziara rasmi katika taifa hilo. .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako