• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mgogoro wa Kiuchumi wa Sudan - Khartoum wachangia kufungwa kwa ofis 17 za Kidiplomasia

    (GMT+08:00) 2018-05-07 19:42:14

    Serikali ya Sudan ina mpango wa kufunga ofisi 17 za kidiplomasia kwa kile wanacho dai wameshindwa kulipa mishahara ya wanadiplomasia wake kwa zaidi ya miezi saba.

    Rais Omar Al Bashir aliamuru kufungwa kwa ofisi za balozi 13.

    Shirika rasmi la Habari la Sudan SUNA liliripoti mwishoni mwa wiki iliyopita kuwa sehemu zote za kiuchumi na za biashara za wanadiplomasia zitafungwa pia.

    Ujumbe wa kidiplomasia wa Abu Dhabi ambao unaandaa kushiriki katika ushiriki wa Sudan katika maonyesho ya mwaka 2020, pia itafungwa baada ya maonyesho hayo.

    Urais pia uliamua kupunguza idadi kubwa ya wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje kwa

    Jumla ya kupunguza kwa wafanyakazi wa mambo ya kigeni nchini Sudan na nje ya nchi itakuwa asilimia 50.

    Kupunguzwa, kunasababishwa na tatizo la kiuchumi na kifedha nchini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako