• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Safaricom yaandikisha faida ya Sh55.3 bilioni.

    (GMT+08:00) 2018-05-09 19:49:54

    Kampuni ya huduma za mawasiliano nchini Kenya,ya Safaricom, imetangaza ongezeko la mapato yake la asilimia 14.1 sawa na shilingi bilioni 55.29 katika kipindi cha hadi Machi 31 mwaka huu.

    Kulingana na Afisa mkuu wa kampuni ya Safaricom Bob Collymore matokeo hayo yanatokana na mkakati wa kuboresha huduma na bidhaa kwa wateja wake.

    Collymore ambaye amekuwa katika likizo ya kimatibabu tokea Oktoba mwaka jana anasema amepata afueni na kuwa ananuia kuendelea kutekeleza majukumu yake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako