• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu Hispania (La Liga) Bacra yapeleka msiba mzito Villareal

    (GMT+08:00) 2018-05-10 09:23:46
    Licha ya kutawazwa kuwa mabingwa wa ligi kuu ya Uhispania, FC. Barcelona imedhamiria kumaliza ligi hiyo bila kupoteza mechi hata moja baada ya kuitandika Villareal jumla ya magoli 5-1 mechi iliyochezwa usiku wa kuamkia leo kwenye uwanja wa Camp Nou.

    Mabao ya Barca yamefungwa na Lionel Messi, Phillipe Countinho na Ousmane Dembele pamoja na Paulinho. Goli la kufuta machozi la Villareal lilifungwa na Nicola Sansone.

    Wakati huo huo, kikosi cha Real Madrid kimekubali kichapo cha goli 3-2 dhidi ya Sevilla katika mchezo mwingine wa ligi kuu hiyo.

    Barcelona sasa wamefikisha jumla ya pointi 90 huku wakiwaacha wapinzani wao wakubwa Real Madrid katika nafasi ya 3 kwa kuwa na pointi 72.Tanzania street children academy

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako