Katika mswada wa mwaka 2018 ulipendekezwa na idara ya trafiki na usalama wa barabarani unaopendekeza kupigwa marufuku kuingia magari yaliopitisha mda wa miaka 10 ,halmashauri ya ushuru imesema itapoteza fedha nyingi.
Hata hivyo hatua hiyo inalengwa kuimarisha wataalamu kutenegenza magari yao Uganda.
Kwa mujibu wa wataalamu hao,bei ya magari itapanda kwa kiasi kikubwa na hivyo kuathiri biashara hiyo kwa jumla.
Kenya ilipitisha mswada huo na sasa ni kinyume cha sheria kuingiza magari yaliopita mda wa miaka 10.
Sekta ya viwanda vya magari Uganda imepewa shilingi bilioni 140 za kuunganisha magari.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |