• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Masharti makali ya visa ya vuta chini ukuaji wa utalii

  (GMT+08:00) 2018-05-14 19:15:34
  Wataalam wa masuala ya Utalii wamesema masharti makali imevuta chini ukuaji wa utalii Afrika.

  Takwimu kutoka baraza la kimatifa la watalii na safari inaonyesha kuwa mwaka wa 2017, kuingia kwa wageni wa kimataifa ilirekodi bilioni 1.2 na Afrika ikichukua milioni 62.

  Kuingia kwa wengine Afrika ilisaidia katika nafasi milioni 8.3 za ajiria ndani ya kipindi hicho.

  Hii inatarajiwa kuongezeka hadi nafasi za ajiri, milioni 11.6 mwaka 2028.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako