• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bado siku 30: Argentina, Brazil na Mexico zatangaza vikosi vyake

  (GMT+08:00) 2018-05-15 10:12:59

  Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Brazil, Leonardo Bacchi 'Tite' ametangaza majina ya wachezaji 23 watakaounda timu itakayoshiriki kombe la dunia.

  Wachezaji hao ni kama ifuatavyo na klabu zao;

  Magolikipa: Alisson (AS Roma), Ederson (Man City), Cassio (Corinthians).

  Mabeki: Marcelo (Real Madrid) Danilo (Man City), Filipe Luis (Atletico Madrid), Fagner (Corinthians), Marquinhos (PSG), Thiago Silva (PSG), Miranda (Inter Milan), na Pedro Geromel (Gremio).

  Viungo: Casemiro (Real Madrid), Fernandinho (Manchester City), Paulinho (Barcelona), Renato Augusto (Beijing Guoan, China PR), Philippe Coutinho (Barcelona), Willian (Chelsea), Fred (Shakhtar Donetsk)

  Washambuliaji: Gabriel Jesus (Manchester City), Roberto Firmino (Liverpool), Douglas Costa (Juventus), Taison (Shakhtar Donetsk), Neymar (Paris Saint-Germain).

  Baadhi ya majina yaliyoachwa kwa kukosa nafasi ni:

  David Luis (Chelsea), lucas Moura (Tottenham), Hulk (Shanghai SIPG), Oscar (Shanghai SIPG), Ramirez (Jiansu Sunning), Gustavo (Marseille), Dante (Nice).

  Lakini pia, Beki Dani Alves wa PSG atakosekana kutokana na kuwa majeruhi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako