• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 •  Ligi ya NBA: Mchakato wa kupata wachezaji wapya kurugenzi ya mashindano yaendesha bahati nasibu

  (GMT+08:00) 2018-05-16 10:05:06

  Bahati nasibu ya kwanza imefanyika jana kwa timu za ligi ya kikapu nchini Marekani kwa ajili ya kupata msimamo wa timu ili kupata zitakazokuwa za kwanza kunufaika na mazao mapya bora ya wachezaji waliopitishwa kutoka timu za vyuo vikuu.

  Katika bahati nasibu hiyo matokeo ni kwamba timu za Phoenix Suns, Sacramento Kings, na Atlanta Hawks ndizo zimekamata nafasi tatu za juu.

  Wachezaji bora wapya kutoka vyuo vikuu msimu huu wanaongozwa na bora zaidi Deandre Ayton wa Chuo Kikuu cha Arizona.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako