• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Naibu waziri mkuu wa China awasili Marekani kwa ajili ya majadiliano ya kiuchumi na kibiashara

  (GMT+08:00) 2018-05-16 20:47:58

  Mjumbe maalum wa rais wa China ambaye pia ni naibu waziri mkuu wa China Liu He amewasili mjini Washington, Marekani kwa ajili ya majadiliano ya kiuchumi na kibiashara na upande wa Marekani.

  Liu, ambaye pia ni mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, ni kiongozi wa ujumbe wa China katika majadiliano hayo unaojumuisha wajumbe mbalimbali akiwemo naibu waziri wa biashara na makamu ya wawasikilishi wa biashara ya kimataifa, Wang Shouwen.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako