• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa China aagiza kuharakisha maendeleo ya sayansi za kisasa ili kuimarisha jeshi

  (GMT+08:00) 2018-05-17 08:50:11

  Rais Xi Jinping wa China amesisitiza kuharakisha maendeleo ya sayansi za kijeshi za kisasa, na kujenga taasisi za ngazi ya juu za utafiti wa kijeshi ili kuunga mkono ujenzi wa jeshi imara la kisasa katika zama mpya. Rais Xi amesema hayo alipofanya ukaguzi kwenye Taasisi ya sayansi za kijeshi ya Jeshi la ukombozi la China PLA. Amesema uvumbuzi unapaswa kupewa kipaumbele, na kutoa wito wa kuhimiza uvumbuzi kwenye utafiti wa sayansi za kijeshi kulingana na mahitaji halisi ya jeshi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako