• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Halmshauri ya mawasiliano Uganda yaanda kikao cha marufuku ya simu mjazo

    (GMT+08:00) 2018-05-17 18:11:05

    Tume ya mkudhibiti mawasiliano nchini Uganda imeanda kikao maalum cha kuamua upigaji marufuku wa simu mjazo ,unaotakiwa kuanzishwa tarehe 30 juni.

    Katika notisi iliyotolewa mwezi Machi,tume hiyo ilipiga marufuku mjazo wa simu za rununu kupitia simu mjazo ama scracht cards.

    Hali hiyo ilichangiwa na ongezeko la visa vya uhalifu kupitia watu wasiojulikana na matumizi ya kadi hizo za simu.

    Kwa mujibu wa afisa mkuu wa mauzo Olivier Prentout,wako tayari kutii agizo hilo kwa awamu na kutumia mtandao kujaza simu pesa za maongezi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako