• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Masumbwi, Bondia Tony Bellew atangaza nia ya kupigana Andre Ward wa Marekani

    (GMT+08:00) 2018-05-18 08:56:32

    Bondia Tony Bellew wa Uingereza amesisitiza nia yake ya kupigana na Andre Ward wa Marekani katika siku za hivi karibuni ambapo amedai kuwa, kutokana na tambo zilizotolewa na Ward hajapigana tangu Juni 2017, na akiwa hajawahi kupigwa katika mapambano 32 aliyowahi kushiriki.

    Bellew ambayo anashiriki masumbwi katika madaraja matatu ya uzito, anasema atapenda kupigana na Ward katika uzito wa Mzito wa Kati, na katika pambano lake la mwisho Bellew alimshinda David Haye wa Uingereza mwanzoni mwa mwezi huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako