• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Dunia, Zimebaki siku 27: Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Senegal atangaza majina 30 ya kikosi cha awali cha timu yake

    (GMT+08:00) 2018-05-18 08:58:39
    Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Senegal, Alilou Cisse ametangaza majina ya wachezaji 30 ya awali ambayo yatatoa wachezaji 23 kwa ajili ya timu ya taifa itakayoshiriki michuano ya kombe la dunia mwaka huu.

    Wachezaji wote wanatoka katika ligi kubwa za kulipwa barani Ulaya, wakiongozwa na Sadio Mane (Liverpool), Mbaye Niang (Torino), Diafra Sakho (Rennes), na Moussa Sow (Bursaspor), na Chiekhou Kouyate (West Ham United)

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako