• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 14 wathibitishwa kuambukizwa Ebola DRC

    (GMT+08:00) 2018-05-18 11:03:32

    Waziri wa afya wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Oly Ilunga ametangaza kuwa jumla ya watu 14 wamethibithwa kuambukizwa homa ya Ebola katika mkoa wa Ikweta, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako